
Mchezaji wa ARJEN ROBBEN wa timu ya taifa ya UHOLANZI atakosa mchezo wao kwa kwanza wa fainali za kombe la dunia dhidi ya timu ya taifa ya
Kiongozi wa timu hiyo BERT VAN MARWIJK amesema kuwa mchezaji huyo mwenye miaka 26 kuwa tatizo
MARWIJK amesema kuwa kwa sasa wanausbiria mchezaji huyo aweze kupona ili ajiunge na wachezaji wengine katika kuhakikisha wanafanya vyema katika michuano hiyo.
Mchezaji huyo aliteuliwa kuwa mchezaji wa mwaka 2010 huko nchini UJERUMANI baada ya kuisadia timu yake ya BAYERN MUNICH kutinga fainali za michuano ya kombe la UEFA.



