
Kiungo wa timu TAIFA ya
NIZAR amesema yeye amekutana na mambo mengi ya kukatisha tamaa ila alipigana hadi kufanikiwa na kusema wachezaji wa
Kiungo huyo anaecheza soka kwenye klabu ya VOUNCOVER WHITE CAMPS amesema nafasi ipo kwa wachezaji wa
Pia kiungo huyo amesema yeye hatomsahau kocha anaeondoka wa TAIFA STARS, MARCIO MAXIMO ambae anasema amechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio yake. NIZAR alikuja hapa nchini kwaajili ya mchezo wa kirafiki wa KIMATAIFA dhidi ya



