Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Monday
Sep 06th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home You and Your Family Fabrigas afanya mazungumzo na Wenger

Fabrigas afanya mazungumzo na Wenger

Kiungo mshambuliaji wa ASERNAL CECS FABRIGAS

Kiungo mshambuliaji wa ASERNAL CECS FABRIGAS anasema amefanya mazungumzo ya mazuri ambayo hajawahi kuyafanya na kocha wake ASERNE WENGER kuhusu mustakabali wake wa kisoka.

CESC ambaye kwa sasa ni majeruhi akiwa na timu ya taifa ya HISPANIA kwa matayarisho ya kombe la dunia anasema WENGER amwambia kwa sasa aweke mawazo yake kwenye fainali za kombe la dunia na mambo mengine yote yatakuja  baadae na kwamba WENGER yuko tayari kumsaidia.

Kuhusu kombe la dunia FABRIGAS anasema anaendelea vizuri sana na anaamini atakuwa fit kabla ya mechi ya kwanza.

FABRIGAS na FERNANDO TORRES wote wameitwa kwenye kwenye kikosi cha HISPANIA wakiwa ni majeruhi lakini sasa wanaonesha kupata ahueni.

Last Updated ( Thursday, 27 May 2010 13:39 )  
Banner