
Tatizo
Lakini pamoja na kupata matibabu nchini HISPANIA, nyota huyo hivi sasa atafanyiwa tena uchunguzi baadaye wiki hii huku daktari bingwa wakiwa na matumaini ya kugundua tatizo.
Taarifa ya klabu hiyo imesema kuwa TORRES alifanyiwa uchunguzi na daktari bingwa wa goti jana mchana nchini HISPANIA na anapata matibabu lakini jeraha
Mchezo mwingine wwa LIVERPOOL utakua siku ya Jumatatu ambapo itakua nyumbani kucheza na WESTHAM UNITED, lakini mchezo wa muhimu kwa timu hiyo ni ule wa nusu fainali ya ligi ya EUROPA dhidi ya ATLETICO



