Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Monday
Sep 06th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home You and Your Family Tiger Woods aendelea kufanya vyema

Tiger Woods aendelea kufanya vyema

Mcheza Gofu namba 1,Tiger Woods

TIGER WOODS ameendelea kufanya vizuri kwenye michuano ya AUGUSTA MASTERS na sasa anakamata  nafasi ya tatu akipiga EIGHT under per.

WOODS anatanguliwa na LEE WESTWOOD na PHIL MICKELSON baada ya kumaliza mzunguko wa tatu uliokuwa wa ushindani.

Leo ni siku ya mwisho ya michuano hii na WOODS bado anasema anashauku ya kushinda.

Last Updated ( Monday, 12 April 2010 09:47 )  
Banner