Mgomo wa Madaktari Waendelea Kuleta Machungu kwa W![]() Sakata la mgomo wa madaktari unaoendelea katika baadhi ya hospitali hapa nchini limeendelea kuleta machungu kwa wagonjwa na jamaa zao licha ya serikali kuwasihi madaktari hao kurejea kazini wakati madai yao mengine yakiwa yanashughulikiwa. Mwandishi wa TBC mkoani MOROGORO, MONICA LYAMPA... Read more |
Usahili wa Kidato cha Kwanza Uharakishwe- KawambwaWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. SHUKURU KAWAMBWA amewaagiza maafisa elimu kote nchini kuharakisha kusambaza muongozo mpya wa wizara hiyo unaoagiza wakuu wa shule za sekondari nchini kuwafanyia usaili wanafunzi waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. ... Read more |
Fedha za UKIMWI Ziwafikie Walengwa- KandoroMkuu wa mkoa wa MBEYA ABBAS KANDORO amesikitishwa na taasisi, asasi na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ambayo yamekuwa yakipatiwa fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya UKIMWI lakini fedha hizo zinadaiwa haziwafikii walengwa. KANDORO ametoa kauli yake wakati wa mkutano wa wadau wa mapamban... Read more |
Viongozi Kilwa Wahimizwa Usimamizi Mzuri wa ArdhiMkuu wa wilaya ya Kilwa NURDIN BABU amewataka madiwani, wenyeviti wa serikali na watendaji wa vijiji kusimamia vizuru suala la ardhi katika maeneo yao ili kuhakikisha akina mama wajane na wenye ulemavu hawadhulumiwi ardhi BABU ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya kuwajeng... Read more |
Jaji Ramadhani Azungumza Kusimamishwa kazi kwa![]() Jaji Mkuu Mstaafu, AUGUSTINO RAMADHANI amesema ni jambo la kawaida hasa katika nchi za jumuiya ya madola kuunda jopo maalum kuchunguza majaji wanaotuhumiwa kwenda kinyume na taratibu za kinidhamu. Jaji RAMADHAN alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uamuzi wa serikali ya KENYA kumsimamisha kazi na k... Read more |
Serikali yatenga sh. Miliono 50 Ujenzi wa uzio chuWizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetengewa zaidi ya shilingi milioni 50 katika mwaka wa fedha 2011/2012, kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa uzio wa kuendeleza ukarabati wa majengo Shilin... Read more |
Sakata la mgomo wa madaktari unaoendelea katika baadhi ya hospitali hapa nchini limeendelea kuleta machungu kwa wagonjwa na jamaa zao licha ya serikali kuwasihi madakt...
Wapiganaji wa kikundi cha Boko Haram katika mji wa Kano nchini Nigeria wameshambulia kituo cha Polisi katika mji huo zikiwa ni siku chache tangu kikundi hicho kilipofa...
Waziri wa Viwanda na Biashara DKT. CYRIL CHAMI ameiomba serikali ya SWEDEN kuendelea kuisaidia TANZANIA katika utekelezaji wa program ya kuendeleza biashara na kuwekez...
Habari kutoka nchini Papua New Guinea zinasema watu 40 wamekufa na wengine 20 hawajulikani walipo baada ya nchi hiyo kukumbwa na maporomoko makubwa ya udongo.
Kuna...
Timu ya TWIGA STARS imeibwaga timu ya wabunge kwa magoli mawili kwa moja katika mchezo uliofanyika uwanja wa KARUME JIJINI DSM.
Mchezo huo ulioandaliwa kwa lengo l...