DIAMOND PLATINUM ashinda tuzo tatu za AFRIMMA mwaka 2015
Nyota wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini NASIB ABDUL maarufu kama DIAMOND PLATINUM amewasili nchini kutoka MAREKANI alipokwenda kupokea tuzo tatu za AFRIMMA mwaka 2015
DIAMOND PLATINUM ashinda tuzo tatu za AFRIMMA mwaka 2015

Nyota wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini NASIB ABDUL maarufu kama DIAMOND PLATINUM amewasili nchini kutoka MAREKANI alipokwenda kupokea tuzo tatu za AFRIMMA mwaka 2015.

Meneja wa msanii huyo,SAID FELLA ametoa wito kwa vijana wenye vipaji vya uimbaji kujitokeza hadharani kuonyesha vipaji vyao ili wajipatie ajira.

Tuzo alizoshinda DIAMOND ni msanii bora wa kiume kutoka AFRIKA Mashariki, video bora ya kucheza na msanii bora wa mwaka barani AFRIKA,wasanii wengine wa TANZANIA walioshinda tuzo hizo ni VANESSA MDEE na OMAR NYEMBO maarufu kama OMMY DIMPOZ.

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI