Mwanamuziki JOHN WOKA afariki dunia
TASNIA ya mziki wa kizazi kipya Bongofleva imepata msiba baada ya kuondokewa na mwana mziki,JOHN WOKA,aliyefariki dunia katika hospitali ya mhimbili siku ya JUMANNE
JOHN WOKA

Wakizungumza na TBC kwenye HOSPITALI TAIFA YA MHIMBILI, baba mzazi wa mwanamziki huyo, DENIS FRANK na mwanamziki aliyeimba na MAREHEMU,GERALD SIMBA,maarufu kama RASI LIONI wamesema,marehemu amefariki dunia wakati JAMII ingali inahitaji mchango wake.

 

Mipango ya mazishi inafanyika ILALA jijini DSM,na mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda tanga kwa mazishi yatakayofanyika siku ya ALHAMIS huko TANGA.

John woka enzi za uhai wake alitamba na ngoma zake kali kama MGANGAHii Kitu Hii na kupendwa na mashabiki   kwa style yake ya kurap kama mlevi

 

16 February 2016

Na OSCAR URASSA

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI