Mabaki ya kiumbe NALEDI yapatikana nchini AFRIKA KUSINI
Wanasayansi nchini AFRIKA KUSINI wamebaini mabaki ya mifupa ya kiumbe kinachofanana kwa kiasi kikubwa na binadamu, ambayo yalifukiwa chini ya ardhi miaka mingi iliyopita
Mabaki ya kiumbe NALEDI yapatikana nchini AFRIKA KUSINI

Wanasayansi nchini AFRIKA KUSINI wamebaini mabaki ya mifupa ya kiumbe kinachofanana kwa kiasi kikubwa na binadamu, ambayo yalifukiwa chini ya ardhi miaka mingi iliyopita.

Mabaki ya kumbe hicho kilichopewa jina la NALEDI, yamepatikana karibu na Mji wa JOHANNESBURG.

Kiumbe hicho kina mikono na miguu kama ya binadamu, ingawa maungo yake ni makubwa.

Ukubwa ya ubongo wa kiumbe hicho unashabihiana kabisa na wa binadamu, huku hatua za miguu yake zikionekana kuwa kubwa kidogo kuliko za binadamu

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI