Wanaozuia kamati ya Waziri Mkuu kukamatwa
Mkuu wa Mkoa wa ARUSHA MRISHO GAMBO amemwagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo kuwasaka viongozi wanaowahamasisha wananchi kuzuia kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu kutatua mgogoro wa Pori Tengefu la LOLIONDO.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo

Agizo hilo limetolewa baada ya wanakijiji wa ARASHI kuwashambulia kwa mawe na silaha za jadi watalamu wa upimaji na kudhaharisha wananchi kuwa kitendo hicho hakitafumbiwa macho.

 

Kufuatia hali hiyo Mkuu wa Mkoa wa ARUSHA MRISHO GAMBO atoa maagizo Kwa Kamanda wa Polisi kuwasaka wahusika hao na kuwafikiisha katika mikono ya sheria.

 

 

KHALFA MSHANA

MACHI 20, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI