Mauzo ya hisa yaongezeka DSE
Mauzo ya hisa katika soko la hisa la DSM DSE yameongezeka na kufikia shilingi bilioni 32 wiki iliyopita kutoka shilingi bilioni 1.3 wiki iliyotangulia.

Mauzo ya hisa katika soko la hisa la DSM DSE yameongezeka na kufikia shilingi bilioni 32 wiki iliyopita kutoka shilingi bilioni 1.3 wiki iliyotangulia.

Afisa mwandamizi wa DSE MARY KINABO amesema ongezeko hilo limetokana na idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa kuongezeka kutoka hisa  laki 640,000 na kufikia hisa milioni tatu.

Amesema hisa zilizofanya vizuri katika soko la wiki iliyopita ni za kampuni ya TBL,TPCC na DSE .

VUMILIA MWASHA

MACHI 20, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI