Waziri Mkuu wa Iraq azuru Marekani
Waziri Mkuu wa IRAQ, HAIDARI AL BAD anatarajiwa kukutana na Rais DONALD TRUMP wa MAREKANI, nchini MAREKANI.
Waziri Mkuu wa IRAQ, HAIDARI AL BAD.

Waziri Mkuu wa IRAQ, HAIDARI AL BAD anatarajiwa kukutana na Rais DONALD TRUMP wa MAREKANI, nchini MAREKANI.

 

Mada kubwa inayotarajiwa kutawala mazungumzo ya viongozi hao ni namna ya kuwadhibiti wapiganaji wa kikundi cha IS ambao wamekuwa tishio katika maeneo mbalimbali duniani, hasa nchini IRAQ.

 

TRUMP na AL BAD wanatarajiwa kujadiliana jinsi ya kuwadhibiti wapiganaji hao katika mji wa MOSUL nchini IRAQ.

 

Wapiganaji hao mara kadhaa wamekuwa wakiyarudisha nyuma majeshi ya serikali ya IRAQ na kuendelea kuudhibiti mji huo.

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI