Korea Kusini kuboresha uhusiano baina ya TBC na vyombo vya habari vya nchi hiyo
Ubalozi wa KOREA YA KUSINI hapa nchini umesema utaendelea kuboresha ushirikiano baina ya Shirika la Utangazaji Tanzania-TBC na vyombo vya habari vya nchi hiyo ili kuboresha uhusiano mzuri baina ya nchi hizi mbili.
Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. AYUB RIOBA

Ubalozi wa KOREA YA KUSINI hapa nchini umesema utaendelea kuboresha ushirikiano baina ya Shirika la Utangazaji Tanzania-TBC na vyombo vya habari vya nchi hiyo ili kuboresha uhusiano mzuri baina ya nchi hizi mbili.

Balozi wa KOREA KUSINI hapa nchini SONG GEUM-YOUNG ametoa kauli hiyo alipomtembelea Mkurugenzi Mkuu wa TBC AYUB RIOBA ofisi kwake na kusema TANZANIA na KOREA KUSINI zimekuwa na ushirikiano mzuri hivyo nchi yake itaendelea kushirikiana na TBC katika masuala mbalimbali.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dokta AYUB RIOBA amesema ushirikiano huo ni muhimu katika kuboresha vipindi.

Uhusiano kati ya KOREA KUSINI na TANZANIA umedumu kwa muda mrefu sasa.

NORA ULEDI

MACHI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI