Airtel na Tigo watakiwa kujiorodhesha DSE
Kamati ya kudumu ya Bunge ya miundombinu imezitaka kampuni za simu za Airtel na Tigo kuharakisha mchakato wa kujiorodhesha kwenye soko la hisa la DSM –DSE, ili watanzania waweze kushiriki katika umiliki wa kampuni hizo.

Akizungumza wakati wa ziara katika kampuni hizo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Norman Sigalla amesema kampuni hizo zinatakiwa kuharakisha mchakato wa  kuuza hisa zao kwa wananchi.

Profesa Sigalla amesema lengo ni kuwaletea wananchi maendeleo ya uchumi kwa haraka.

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI