Dkt Shein mgeni rasmi mashindano ya majeshi
Rais wa ZANZIBAR na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Ali Mohammed Shein anatarajiwa kufungua mashindano ya majeshi yanayoandaliwa na vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Rais wa ZANZIBAR na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Dkt Ali Mohammed Shein

Rais wa ZANZIBAR na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Ali Mohammed Shein anatarajiwa kufungua mashindano ya majeshi yanayoandaliwa na vyombo vya ulinzi na usalama nchini.

Mashindano hayo ambayo yanafanyika katika uwanja wa Amani mjini Unguja, yataanza Jumamosi ya tarehe 18 Machi 2017.

RUKIA MPUTILA

MACHI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI