Yanga yawasili Zambia tayari kucheza na Zanaco mchezo wa marudiano
Timu ya Yanga iko nchini Zambia tayari kuikabili timu ya Zanaco mchezo wa marudiano ambao utapigwa siku ya Jumamosi.
Baadhi ya Wachezaji wa YANGA waliiondoka nchini kwenda ZAMBIA kwa mchezo wa Marudiano baina ya timu yao na ZANACO.

Timu ya Yanga iko nchini Zambia tayari kuikabili timu ya Zanaco mchezo wa marudiano ambao utapigwa siku ya Jumamosi.

 

Hata hivyo wachezaji Dolnard Ngoma, Pato Ngonyani pamoja na Amis Tambwe hawatakuwepo kwenye mchezo huo kutokana na kuwa majeruhi.

 

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema wamejipanga kushinda mchezo huo licha ya kuwa ugenini.

 

Yanga imeondoka ikiwa ikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya kufungana goli moja kwa moja na Zanaco ya Zambia hivyo inahitaji ushindi ili isonge mbele katika michuano hiyo ya ligi ya mabingwa Afrika.

 

 

JANE JOHN

MACHI 16, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI