Kamati ya saidia Serengeti Boys ishinde yawaomba watanzania kuichangia timu hiyo
Watanzania wameombwa kuichangia timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys.
Wachezaji wa timu ya Taifa chini ya umri wa Miaka 17, Serengeti Boys Mazoezini

Watanzania wameombwa kuichangia timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys ili iweze kufuzu kombe la dunia la vijana lilopangwa kufanyika November mwaka huu nchini India.

 

 

JANE JOHN

MACHI 16, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI