Ndizi na Viazi mviringo vyaongezeka soko la mabibo
Upatikanaji wa ndizi na viazi mviringo umeongezeka katika soko la mabibo maarufu kama mahakama ya ndizi jijini DSM kutoka sehemu mbalimbali nchini na hivyo kufanya bei ya bidhaa hizo kupungua.

Upatikanaji wa ndizi na viazi mviringo umeongezeka katika soko la mabibo maarufu kama mahakama ya ndizi jijini DSM kutoka sehemu mbalimbali nchini na hivyo kufanya bei ya bidhaa hizo kupungua.

Afisa masoko wa soko hilo Lazaro Mikonko amesema kwa siku yanaingia maloli 25 yaliyosheheni bidhaa hizo na kufanya hata bei ya viazi mviringo na ndizi kushuka.

Mikonko amesema licha ya kukabiliwa na ubaya wa miundombinu hasa wakati wa mvua, amewataka wananchi kutembelea soko hilo kwa vile watairekebisha miundombinu hiyo.

STANLEY GANZEL

MACHI 16, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI