Maporomoko yaua 30 Ethiopia
Zaidi ya watu 30 wameuawa na maporomoko katika eneo moja la kumwaga taka nje ya mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.
Polisi katika eneo palipotokea maporomoko nchini Ethiopia.

Zaidi ya watu 30 wameuawa na maporomoko katika eneo moja la kumwaga taka nje ya mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.

Habari kutoka nchini humo zinasema kuwa watu kadhaa bado hawajulikani waliko tangu maporomoko hayo yatokee marchi kumi na moja mwaka 2017

Inakadiriwa kuwa watu zaidi ya mia moja na hamsini walikuwepo katika eneo hilo ambalo lilikuwa likitumika kutupa taka kwa takribani miongo mitano.

LEVINA KATEULE

MACHI 13, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI