Gari lavamia wananchi na kuua 34
Zaidi wa watu Thelathini na wanne wameuwawa na wengine kumi na watano wamejeruhiwa baada ya gari kuvamia katikati ya kundi ya watu nchini HAITI
Gari lililovamia katikati ya kundi la watu na kuua nchini HAITI.

Zaidi wa watu Thelathini na wanne wameuwawa na wengine kumi na watano wamejeruhiwa baada ya gari kuvamia katikati ya kundi ya watu nchini HAITI

Tukio hilo limetokea katika mji wa Gonaives Kaskazini mwa mji mkuu wa Port Au Prince nchini Haiti ambapo awali gari hilo lilipita katika njia ya watembea kwa miguu na kuua mtu mmoja.

Habari kutoka nchini Haiti zinasema kuwa dereva wa gari hilo aliongeza mwendo na kuvamia kundi la watu ambao walikusanyika tofauti na barabara ilipo.

Uchunguzi wa ajali hiyo bado unaendelea.

LEVINA KATEULE

MACHI 13, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI