PARKEN HEI aondoka Ikulu
Aliyekuwa rais wa KOREA KUSINI, PARKEN HEI ameondoka katika Ikulu ya nchi hiyo na kuwasili kwenye makazi yake binafsi yaliyoko katika Mji wa SEOUL baada ya waendesha mashtaka nchini humo kumuamuru kuachia madaraka.
Aliyekuwa rais wa KOREA KUSINI, PARKEN HEI

Aliyekuwa rais wa KOREA KUSINI, PARKEN HEI ameondoka katika Ikulu ya nchi hiyo na kuwasili kwenye makazi yake binafsi yaliyoko katika Mji wa SEOUL baada ya waendesha mashtaka nchini humo kumuamuru kuachia madaraka.

Maelfu ya mashabiki wa PARK, walijitokeza karibu na makazi yake kumlaki, huku wakionyesha kila dalili za kumuunga mkono licha ya bunge la KOREA KUSINI kupitisha muswada wa kuridhia kiongozi huyo kufunguliwa mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka.

GHANIA JUMBE

MACHI 12, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI