UN yahitaji askari 300 kulinda CONGO - DRC
Umoja wa Mataifa umesema unahitaji askari wengine 300 wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC ili kudumisha amani nchini humo.
Askari wa Umojawa Matiafa wa kulinda amani nchini J Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC kazini.

Umoja wa Mataifa umesema unahitaji askari wengine 300 wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC ili kudumisha amani nchini humo.

Umoja wa Mataifa umesema askari wa ziada wanatakiwa nchini humo kwa vile kumekuwa na hali ya wasiwasi, baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuendelea kukaa madarakani licha ya muda wake wa uongozi kumalizika mwezi Disemba mwaka jana.

GHANIA JUMBE

MACHI 12, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI