Maafisa usalama MAREKANI waimarisha ulinzi katika ikulu ya nchi hiyo
Baada ya mtu mmoja kufanikiwa kuingia ndani ya Ikulu bila idhini, huku rais Trump akiwa ndani,Maafisa usalama nchini Marekani, wamelazimika kuimarisha ulinzi katika Ikulu ya nchi hiyo.
Ikulu ya Marekani, "White House"

Baada ya mtu mmoja kufanikiwa kuingia ndani ya Ikulu bila idhini, huku rais Trump akiwa ndani,Maafisa usalama nchini Marekani, wamelazimika kuimarisha ulinzi katika Ikulu ya nchi hiyo.

Mara baada ya kuhojiwa mtu huyo alidai kuwa yeye ni rafiki wa karibu wa Trump na alikuwa na miadi naye.

NYAMBONA MASAMBA

MACHI 12,2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI