Mfumuko wa bei wapanda
Mfumuko wa bei kwa mwezi Februari mwaka huu umeendelea kupanda na kufikia asilimia 5.5 kutoka asilimia 5.2 mwezi uliotangulia.0
Ofisi ya Takwimu ya Taifa imesema Mfumuko wa bei kwa mwezi Februari mwaka huu umeendelea kupanda.

Mfumuko wa bei kwa mwezi Februari mwaka huu umeendelea kupanda na kufikia asilimia 5.5 kutoka asilimia 5.2 mwezi uliotangulia.

 

Ofisi ya Takwimu ya Taifa imesema kuongezeka kwa bei za bidhaa za vyakula kwa mwezi februari ndio kumepandisha mfumuko wa bei.

 

Aidha ofisi hiyo imesema  thamani ya shilingi mia moja ya kitanzania imezidi kuporomoka na kufikia shilingi 93 na senti 48 .

 

 

VUMILIA MWASHA

MACHI 09, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI