Madaktari zimbabwe wamegoma kutokana na kulipwa mshahara mdogo
Madaktari katika hospitali kubwa za serikali nchini ZIMBABWE wameanza mgomo kwa madai ya kulipwa mshahara mdogo na mazingira ya kazi yasiyoridhisha.
Madaktari nchini Zimbabwe wamegoma wakidai maslai zaidi

Madaktari katika hospitali  kubwa za serikali nchini ZIMBABWE wameanza mgomo kwa madai ya kulipwa mshahara mdogo na mazingira ya kazi yasiyoridhisha.

Rais wa chama cha madaktari  nchini humo,  EDGAR MUNATSI  amethibitisha kuwepo kwa mgomo huo unahusiana na hali ya ustawi wa madaktari hao.

Uchunguzi unaonyesha kuwa madaktari wengi katika  hospitali ya rufaa ya PARIRENYATWA wamegoma na wengine katika maeneo mengine nchini ZIMBABWE wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wa chama chao ambao wanaendelea na kikao kuhusu mgomo huo.

MARTHA NGWILA

FEBRUARI 16,2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI