Serikali kuendelea na jitihada za kulinda haki miliki za wasanii.
Serikali imesema inafanyakazi kubwa ya kulinda haki za wasanii hasa haki za umiliki na ubunifu.
Serikali imesema inafanyakazi kubwa ya kulinda haki za wasanii

Serikali imesema inafanyakazi kubwa ya kulinda haki za wasanii hasa haki za umiliki na ubunifu.

 

Kauli  hiyo imetolewa na Kaimu mkugenzi msaidizi wa biashara ya nje, toka wizara ya biashara Wilson Malosha kwenye ufunguzi wa semina ya siku tano kuhusu Umiliki bunifu na kusisitiza vyombo vya habari kuwalipa wasanii wanaotumia kazi zao . 

 

 

JANE JOHN

MACHI 07, 2017

 

 

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI