Msanii wa filamu mike Ezeurunye wa nigeria yupo nchini kurekodi
Msanii wa filamu toka Nigeria Mike Ezeurunye yupo nchini kwa kazi ya kurekodi filamu na wasanini wa hapa nchini.
Msanii wa filamu toka Nigeria, Mike Ezeurunye

Msanii wa filamu toka Nigeria Mike Ezeurunye yupo nchini kwa kazi ya kurekodi filamu na wasanini wa hapa nchini.

Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye amekutana na msanini huyo na kusema ujio wa msanii huyo ni nafasi kwa wasanii wa Kitanzania kujifunza toka kwake huku msanii huyo akisema kazi ya wasanii ni kutumia uwezo wao kuunganisha waafrika. 

JANE JOHN

MACHI  07, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI