Wasanii washauriwa kutunga filamu zakupinga dawa za kulevya
Naibu waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo ANASTAZIA WAMBURA amewataka wasanii kutunga filamu zinazopinga matumizi ya dawa za kulevya.
Naibu waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo, ANASTAZIA WAMBURA

Naibu waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo, ANASTAZIA WAMBURA amewataka wasanii kutunga filamu zinazopinga matumizi ya dawa za kulevya.

 

Naibu amesema hayo alipokutana na wasanii wa kike kupata maoni yao ambayo yataingizwa katika sera ya sanaa na kuwataka wajitambue na kujithamini kwa kuzingatia maadili ya mtanzania.

 

 

JANE JOHN

MACHI 2, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI