TFF yapiga marufuku kuingia uwanjani na mabango
Shirikisho la soka hapa nchini TFF limepiga marufuku mashabiki wa soka hapa nchini kuingia na mapango yatakayokuwa yameandikwa ujumbe ambao ni wa kukashfu viongozi wa serikali wakati wa mchezo wa YANGA dhidi YA NGAYA kutoka COMORO.
Msemaji wa TFF, ALFRED LUCAS

Shirikisho la soka hapa nchini TFF limepiga marufuku mashabiki wa soka hapa nchini kuingia na mapango yatakayokuwa yameandikwa ujumbe ambao ni wa kukashfu viongozi wa serikali wakati wa mchezo wa YANGA dhidi YA NGAYA kutoka COMORO.

Msemaji wa TFF ALFRED LUCAS amesema kuna taarifa wamezipata kuwa kuna baadhi ya mashabiki wamepanga kuingia na mabango hayo iwapo watabainika watachukuliwa hatua ya kisheria

YANGA itashuka dimbani kucheza na timu ya NGAYA katika mchezo wa ligi ya mabingwa AFRIKA mchezo wa marudiano utakaopigwa uwanja wa TAIFA JIJINI DSM.

Katika mchezo wa awali YANGA iliitandika timu ya NGAYA kwao magoli matano kwa moja.

JANE JOHN

FEBRUARI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI