Tozo ya zabuni yafutwa
Tozo ya zabuni ya asilimia mbili iliyokuwa inatozwa nawakala wa huduma ya ununuzi serikali- GPSA- imefutwa ili kuruhusu watu wengi kushiriki katika zabuni zinazotangazwa na serikali.

Tozo ya zabuni ya asilimia mbili iliyokuwa inatozwa nawakala wa huduma ya ununuzi serikali- GPSA- imefutwa ili kuruhusu watu wengi kushiriki katika zabuni zinazotangazwa na serikali.

Akizungumza na wazabuni wa vifaa na huduma kwa  taasisi za serikali kaimu mtendaji mkuu wa GPSA JACOB KIBONA amesema tozo hiyo imeondolewa baada ya kuonekana inaongeza gharama za zabuni na hivyo kuwanyima fursa baadhi ya watu kushiriki katika zabuni za serikali.

VUMILIA MWASHA

FEBRUARI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI