TASAF kugawa vibubu UNGUJA
Mfuko wa maendeleo ya jamii nchini TASAF kisiwani UNGUJA, unatarajiwa kugawa vibubu SITA kwa vikundi SITA vya wanawake wajasiriamali wa kaya masikini katika SHEHIA ya MTENDE ili waweke akiba na kuanzisha biashara.

 Akizungumza na wanavikundi wa shehia hiyo, mratibu wa TASAF UNGUJA, FATMA MOHAMED JUMA amesema ugawaji wa vibubu hivyo utaenda sambamba na utoaji wa mafunzo ya ujasiriamali , uwekaji akiba na kukopa, matumizi ya fedha na usimamizi wa biashara.

VUMILIA MWASHA

FEBRUARI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI