Biashara ya Kuku yadorora Soko la KISUTU DSM
Biashara katika machinjio ya Kuku ya kisutu jijini DSM imedorora kutokana na kuongezeka kwa machinjio yasiyo rasmi yaliyoanzishwa kiholela mitaani.
Kuku

Biashara katika machinjio ya Kuku ya kisutu jijini DSM imedorora kutokana na kuongezeka kwa machinjio yasiyo rasmi yaliyoanzishwa kiholela mitaani.  

Wafanyabiashara wa machinjio hayo wamebainisha kuwa idadi ya Kuku wanaopelekwa katika machinjio  imekuwa ikipungua kutokana na watu wengi kuchinja kuku kwenye machinjio yasiyo rasmi.

VUMILIA MWASHA

FEBRUARI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI