Kikundi cha kigaidi Afrika ya Kati chatuhumiwa kufanya mauaji
Shirika la Kutetea za haki za Binadamu la Human Rights Watch –HRW- limesema watu 32 wameuawa katika Jamhuri ya AFRIKA ya Kati katika kipindi cha kuanzia Novemba hadi Desemba mwaka jana.
Hali ya usalama katika Afrika ya kati si ya uhakika

Shirika la Kutetea za haki za Binadamu la Human Rights Watch –HRW- limesema watu 32 wameuawa katika Jamhuri ya AFRIKA ya Kati katika kipindi cha kuanzia Novemba hadi Desemba mwaka jana.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo mauaji hayo yamefanywa na waasi wa kikundi cha umoja wa amani Jamhuri ya AFRIKA ya Kati wakati wa mapigano na kikundi kingine kwenye mji wa Bakala.

Taarifa hiyo imesema hali ya usalama katika jamhuri hiyo hairidhishi hususan katika miezi ya hivi karibuni.

MARTHA NGWIRA

FEBRUARI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI