KIMBUNGA chaua watu Saba MSUMBIJI
Watu saba wamekufa na wengine maelfu hawana mahali pa kuishi nchini MSUMBIJi kutokana na kimbunga kilichoikumba nchi hiyo Jumatano wiki hii.
Madhara makubwa ya uharibifu na vifo yameikumba Msumbiji kufuatia Kimbunga kilichoikumba nchi hyo Jumatano wiki hii.

Watu saba wamekufa na wengine maelfu hawana mahali pa kuishi nchini MSUMBIJi kutokana na kimbunga  kilichoikumba nchi hiyo  Jumatano wiki hii.

Maafisa wa wanaoshughulikia maafa  nchini MSUMBIJI wamesema kimbunga hicho pia kimesababisha  nguzo za umeme kukatika na kuziba barabara katika jimbo la INHAMBANE ambalo limeathrika zaidi kwa kimbunga hicho.

Maafisa hao wamesema chakula na mahema yamepelekwa kwenye eneo hilo kwa ajili ya kuwasaisia watu walioathirika na kimbunga hicho kilichoharibu nyumba zao.

MARTHA NGWIRA

FEBRUARI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI