Serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira
Waziri ofisi ya makamu wa rais mazingira JANUARY MAKAMBA amesema serikali imejiandaa kukabiliana na uharibifu wa mazingira nchini ikiwemo kutafuta rasilimali za kukabiliana na hali hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba (katikati) akiongea wakati wa mkutano na Mabalozi ambao ni Washirika wa Maendeleo, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais liliko barabara ya Luthuli

Waziri ofisi ya makamu wa rais mazingira JANUARY MAKAMBA amesema serikali imejiandaa kukabiliana na uharibifu wa mazingira nchini ikiwemo kutafuta rasilimali za kukabiliana na hali hiyo.

Akizungumza wakati wa kikao na mabalozi mbalimbali nchini Waziri MAKAMBA amesema ni muhimu kuwa na mikakati ya kukabiliana na suala hilo kwa kuwa hali ya mazingira nchini hairidhishi.

Kikao hicho kinachojadili utekelezaji wa mikakati hiyo na kimewashirikisha wawakilishi wa taasisi mbalimbali za mazingira.

HERIETH SHIJA

FEBRUARI 17, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI