Pakistan imezindua jaribio la kwanza la kombora lake la majini.
Taarifa zinasema kuwa jeshi la nchi hiyo limesema kombora hilo lina uwezo wa kwenda kilomita 450 na limefanyiwa mazoezi katika bahari ya Hindi.
Waziri Mkuu wa PAKISTAN, NAWAZ SHARIF

Taarifa zinasema kuwa jeshi la nchi hiyo limesema kombora hilo lina uwezo wa kwenda kilomita 450 na limefanyiwa mazoezi katika bahari ya Hindi.

Waziri Mkuu wa PAKISTAN, NAWAZ SHARIF amesema kuwa jaribio hilo limeonyesha maendeleo ya kiteknolojia na jinsi ya kujilinda.

JUDICA LOSAI

JANUARI 11,2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI