Watu ishirini na tano wafa kwa mafuriko THAILAND
Takribani watu ishirini na watano wanahofiwa kufa baada ya mafuriko yaliyoikumba nchi yaThailand.
Mvua zilizonyesha kwa siku tatu zimesababisha Mafuriko makubwa nchini Thailand na inahofiwa watu ishirini na tano wamekufa kutokana na mafuriko hayo.

Takribani watu ishirini na watano wanahofiwa kufa baada ya mafuriko yaliyoikumba nchi ya Thailand.

 

Taarifa zinasema kuwa mvua hizo zimenyesha kwa siku tatu mfufulizo na kusababisha madaraja mawili kukatika kusini mwa nchi hiyo.

 

Mvua hizo pia zimesababisha kupungua kwa watalii nchini humo kutokana na kuharibika kwa visiwa viwili vya kitalii vya SAMUI na PHANGAN. 

 

 

JUDICA LOSAI

JANUARI 11,2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI