Wakulima wa matunda waanzisha chama cha kutatua kero zao.
Wakulima na wafanyabiashara wa matunda nchini wameanzisha chama cha ushirika cha UWAMATA ili kusaidia kutatua tatizo la ukosefu wa soko la uhakika la matunda.

Wakulima na wafanyabiashara wa matunda nchini wameanzisha chama cha ushirika cha UWAMATA ili kusaidia kutatua tatizo la ukosefu wa soko la uhakika la matunda.

Viongozi wa muda wa chama hicho wamesema chama chao kinauwakilishi kutoka mikoa yote inayolima matunda nchini na kimeanzishwa ili kukabiliana na tatizo la soko na madalali wanaowanyonya wakulima.

Akizindua  chama hicho ,Mkuu wa Wilaya ya MKURANGA Mkoani PWANI, FILBERTO SANGA amewataka wakulima na wafanyabiashara wa matunda  kukitumia chama hicho katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo mbalimbali yanayowakabili.

VUMILIA MWASHA

JANUARI 10, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI