Wadau wa soka wakutana Mbeya
Mkuu wa mkoa wa MBEYA AMOS MAKALA amekutana na wadau wa soka mkoani MBEYA kujadili namna ya kuendeleza soka mkoani humo pamoja na kurudisha hamasa kwa wapenzi wa soka.
Mwenyekiti mpya wa kamati ya habari na mahusiano wa mkoani MBEYA, ENOCK BWIGANE.

Mkuu wa mkoa wa MBEYA AMOS MAKALA amekutana na wadau wa soka mkoani MBEYA kujadili namna ya kuendeleza soka mkoani humo pamoja na kurudisha hamasa kwa wapenzi wa soka.

MAKALA amesema ili soka liweze kuendelea ni kujikita kuibua vipaji pamoja na kupata fedha ambazo zitasaidia katika maendeleo ya soka mkoani MBEYA.

Katika hatua nyingine chama cha soka mkoa wa MBEYA kimeunda kamati mbalimbali za kusaidia maendeleo ya soka mkoani MBEYA ambapo ENOCK BWIGANE mtangazaji wa TBC amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya habari na mahusiano  wa mkoani MBEYA.

JANE JOHN

JANUARI 09, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI