Pan Africans yaendelea na mazoezi
Timu ya PAN AFRICANS ya jijini Dar es Salaam imeendelea na mazoezi katika uwanja wa shule ya sekondari AZANIA jijini Dar Es Salaam kujiandaa na mchezo wake wa pili wa ligi daraja la pili ngazi ya mkoa wa Dar es Salaam.
Soka

Kocha wa timu hiyo ADOLFU RISHAD pamoja na wachezaji wamejigamba kurejea ligi darala la kwanza msimu ujao.

PAN AFRICANS  itaikabili TEMEKE RANGERS JANUARY 12 uwanja wa BANDARI Temeke jijini Dar es Salaam, katika mchezo wa kwanza timu ya PAN AFRICANS iliibuka na ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya STAKISHARI ya jijini Dar Es Salaam.

JANE JOHN

JANUARI 09, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI