Assad aahidi ushirikiano
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Daniel Kablan Duncan amejiuzulu na kuvunja baraza la mawaziri ikiwa ni njia ya kufuatilia kuidhinishwa kwa katiba mpya na uchaguzi wa ubunge wa mwezi uliopita.
Rais BASHAR AL ASSAD wa SYRIA

Rais BASHAR AL ASSAD wa SYRIA amezungumza kupitia televisheni ya Taifa hilo na kusema yuko tayari kutoa ushirikiano katika nyanja zote wakati wa mazungumzo ya kutafuta amani.

 

Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika KAZAKHSTAN  kati ya serikali na vikundi vya waasi.

 

 

JUDICA LOSAI

JANUARI 09, 2017

 

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI