Wanaharakati wa kampeni ya BRING BACK OUR GIRLS waandamana inchini NIGERIA
Wanaharakati wa kampeni ya BRING BACK OUR GIRLS nchini NIGERIA wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo ABUJA kuadhimisha siku ELFU MOJA tangu zaidi wasichana wa shule 200 kutekwa nyara huko CHIBOK na kundi la BOKO HARAM.
Wanaharakati wa kampeni ya BRING BACK OUR GIRLS.

Wanaharakati wa kampeni ya BRING BACK OUR GIRLS nchini NIGERIA wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo ABUJA kuadhimisha  siku ELFU MOJA tangu zaidi wasichana wa shule 200 kutekwa nyara huko CHIBOK na kundi la BOKO HARAM.

Wanaharakati hao wanailaumu serikali ya NIGERIA kwa kufanya uzembe  katika kuwatafuta wasichana hao wa shule.

Kiongozi wa kampeini hiyo ya BRING BACK OUR GIRLS, AISHA YESUFU amesema familia zilizopoteza wasichana wanahitaji kusikia mambo mazuri ya kupatikana kwao.

Katika maadhimisho hayo Rais MUHAMMADU BUHARI wa NIGERIA amesema nchi yake  haitaacha kuwalilia watoto hao ambao bado wanashikiliwa na anamatumaini watachiwa.

JUDICA LOSAI

JANUARI 09,2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI