Wafanyakazi wa reli waendeleza mgomo mjini LONDON
Mgomo wa wafanyakazi wa reli umesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa treni mjini LONDON, UINGEREZA. Vituo vingi vya treni vimefungwa katikati ya mji huo.
Abiria wa treni wakiwa wamepanga foleni kwa ajili ya usafiri wa Basi nje ya vituo vya Usafiri wa Treni vilivyofungwa kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa Reli nchini Ungereza.

Mgomo wa wafanyakazi wa reli umesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa treni mjini LONDON, UINGEREZA. Vituo vingi vya treni vimefungwa katikati ya mji huo.

Wafanyakazi wengi wameshindwa kufika kazini kwa wakati kutokana na mgomo huo wa wafanyakazi wa reli waopinga kufungwa kwa vituo vya kuuza tiketi na kupunguzwa kazi.

Zaidi ya watu miloni Moja wanatumia usafiri wa treni kwenda kazini mjini LONDON.

JUDICA LOSAI

JANUARI 09, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI