Ngwiji wa mashairi kupatikana wiki hii
Shindano la kumpata gwiji wa utunzi wa mashairi katika Jiji la DSM litafanyika katika viwanja vya KARIMJEE siku ya JUMAMOSI na JUMAPILI ya wiki hii.
Mtunzi maarufu wa Mashairi Afrika Mashariki, Shaaban Robert

Shindano la kumpata gwiji wa utunzi wa mashairi katika Jiji la DSM litafanyika katika viwanja vya KARIMJEE siku ya JUMAMOSI na JUMAPILI ya wiki hii.

Mratibu wa shindano hilo CHATA MICHAEL amesema shindano hilo linalenga kukuza vipaji pamoja na lugha ya Kiswahili.

Kwa upande wao washindi wa shindano hilo wa mwaka jana akiwemo mzee SULAIMANA KIRUNGI na HAMZA MNYONGE NONGWA wameeleza kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya shindano hilo.

Takribani washiriki 40 wanatarajiwa kupambanishwa ambapo mshindi wa kwanza atajinyakulia laki 5 wa pili laki 3 na wa tatu hadi wa 10 watajinyakulia shilingi laki moja moja.

MALYO CHETO

DESEMBA 13, 2016

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI