Wanamitindo washauriwa kushiriki maonesho mbalimbali
Wanamitindo chipukizi wamehimizwa kushiriki katika maonyesho mbalimbali ya mitindo ili waweze kujitangaza kitaifa na kimataifa.
Kazi za wanamitindo wa Tanzania

Wanamitindo chipukizi wamehimizwa kushiriki katika maonyesho  mbalimbali ya mitindo ili waweze kujitangaza kitaifa na kimataifa.

Akizungumza na TBC , Mwanamitindo chipukizi, PRISCA GILL amesema kujiamini na kujitangaza ndio kitu Pekee kitakachowafanya wanamitindo chipukizi kukuza soko la  biashara zao.

GILL anatengeneza nguo zenye asili ya kiafrika na alikuwa ni mmoja wa wanamitindo chipukizi walioshiriki maonyesho ya SWAHILI FASHION yaliyomalizika hivi karibuni hapa jijini DSM.

EVANCE MHANDO

DESEMBA 13, 2016

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI