Wanawake wajengewa uwezo
Chemba ya wanawake wajasiriamali -TWCC imeanza kutoa mafunzo kwa wanawake zaidi ya 50 kutoka katika mikoa 15 nchini kwa lengo la kuwajengea uwezo katika ajenda ya ujenzi wa uchumi unaotegemea viwanda.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa TWCC, Mwajuma Hamza amesema wanawake hao wametoka katika mikoa inayopakana na nchi jirani ili bidhaa zinazozalishwa hapa nchini zipate masoko nje ya nchi.

Kwa upande wake mmoja wa wanawake hao ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chemba ya wajasiriamali eneo na Kabanga mpakani mwa Tanzania na Burundi Dotto Mshaija amesema ziara hiyo itawasaidia kuachana na vifaa duni na kutumia teknolojia za kisasa katika biashara na uzalishaji wa bidhaa.

VUMILIA MWASHA

JANUARI 06, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI