Wananchi wasubiri kununua hisa
Madalali wa mauzo ya hisa wa soko la hisa la DSE wamesema watu wanasubiria kwa hamu kununua hisa za makampuni ya simu yaliyotangaza kuuza asilimia 25 ya hisa zao kwa wananchi.
Uuzaji wa hisa katika soko la Hisa la Dar es Salaam

Madalali wa mauzo ya hisa wa soko la hisa la DSE wamesema watu wanasubiria kwa hamu kununua hisa za makampuni ya simu yaliyotangaza kuuza asilimia 25 ya hisa zao kwa wananchi.

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya madalali wa hisa wa TANZANIA SECURITIES, JOAQUIM BONAVENTURE amesema wamepokea maombi mengi kutoka kwa wawekezaji wadogowakitaka kununua hisa za kampuni hizo lakini wanasubiri mamlaka ya mitaji na masoko CMSA kuidhinisha.

STANLEY GANZEL

JANUARI 05, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI