Mwanamuziki Janet Jackson ajifungua mtoto wa kiume
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Janet Jackson, ambaye ni dada wa aliyekuwa mwanamuziki maarufu wa miondoko ya pope nchini humo Michael Jackson, amejifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50.
Janeth Jackson na mmewe, Wissam al-Mana

Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Janet Jackson, ambaye ni dada wa aliyekuwa mwanamuziki maarufu wa miondoko ya pope nchini humo Michael Jackson, amejifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50.

Taarifa zaidi kuhusiana na mahali mwanamuziki huyo alipojifungulia mtoto hazikutolewa, lakini amesema amejifungua mtoto wa kiume ambaye amempatia jina la Aisa Al Mana.

Janet ameolewa na mfanyabiashara mmoja maarufu.

NYAMBONA MASSAMBA

JANUARI 05, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI