Ajali ya boti yaua watu tisa nchini UGANDA
Watu TISA wamethibitishwa kufa na wengine 21 hawajapatiakana baada ya boti walilopanda kuzama katika ziwa ALBERTI nchini UGANDA.
Manusuru wa ajali ya boti nchini Uganda wakiwa wamerejea Pwani baada ya kukumbwa na ajali iliyoua watu tisa na kuwaacha wengine 21 hawajulikani walipo katika Ziwa Albert nchini Uganda. Sehemu kubwa ya waliokuwa katika boti hiyo ni wachezaji wa mpira wa miguu na washabiki waliokuwa wakielekea mechi ya kirafiki ya kuadhimisha siku ya KRISMASI.

Watu TISA wamethibitishwa  kufa na wengine 21 hawajapatiakana baada ya boti walilopanda kuzama katika  ziwa ALBERTI  nchini UGANDA.

 

Abiria wengi walikuwa katika boti hilo wachezaji wa mpira wa miguu na washabiki waliokuwa wakielekea mechi ya kirafiki ya kuadhimisha siku ya KRISMASI.

 

Kwa mujibu wa taarifa  ya Afisa wa polisi mji wa BULIISA JOHN RUTAGIRA,  boti hiyo ilibeba jumla ya abiria 45 ambapo 15 wamepatikana wakiwa hai.

 

RUTAGIRA amesema chanzo cha ajali hiyo kimetokana na boti hiyo  kuzaja abiria kupita kiasi.

 

 

DARLIN SAID

DESEMBA 27, 2016

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI