Wasanii 27 washiriki shindano la ushairi
Washairi 27 hii leo wameshindana kwenye Mashindano ya ushairi yaliyofanyika hapa jijini DSM na kesho atatangazwa mshindi wa shindano hilo
Mashindano ya ushairi, Dar es Salaam

Washairi 27 hii leo wameshindana kwenye Mashindano ya ushairi yaliyofanyika hapa jijini DSM na kesho atatangazwa mshindi wa shindano hilo.

 

Baadhi ya wadau wa Kiswahili akiwepo Prof  Tigiti Sengo na washiriki wa shindano hilo Ibrahim Sultan na Suleman Kitungi wamesema mahindano hayo yanaweza kuamusha na kukuza ushahiri hapa nchini.

 

 

EVANCE MHANDO

DESEMBA 17, 2016

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI